TAMASHA LA KIMATAIFA LA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

8
:
88
:
88
:
88

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

TANZANIA · Tuzo ya Heshima ya Ukombozi wa Afrika

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania na mmoja wa waanzilishi wa Pan-Africanism, aliongoza Tanganyika kuelekea uhuru mwaka 1961. Alikuwa mstari wa mbele katika harakati za ukombozi wa Afrika, akitoa msaada kwa vyama na harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika, na kupinga ukoloni, ubaguzi wa rangi.

Akiwa miongoni mwa waasisi wa umoja wa Afrika, alichangia kwa kiasi kikubwa katika kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), kwa sasa Umoja wa Afrika (AU).

Urithi wake wa uhuru, umoja, haki, amani na utu wa binadamu unaendelea kuwa chanzo cha hamasa kwa vizazi vya Afrika na duniani kote.

← Waliopendekezwa wote