TAMASHA LA KIMATAIFA LA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

8
:
88
:
88
:
88

LIBERATION HISTORY:

Kuigiza Historia, Mapambano na Urithi wa Ukombozi

LIBERATION HISTORY:

Maonesho kwa njia ya uigizaji wa jukwaani na maonesho ya kisanaa historia ya mapambano ya ukombozi wa Afrika, matukio muhimu ya kihistoria, kujitoa na mapambano katika ukombozi, umoja na maendeleo ya Afrika.

← Rudi kwenye orodha