Maonesho ya Makumbusho ya Viongozi wa Afrika na Mchango wao
Jukwaa la kimataifa la kuonesha historia, urithi, maono na mchango wa viongozi wa Afrika waliochangia:
• Ukombozi wa Afrika
• Umoja wa Afrika
• Amani na usalama
• Maendeleo ya kijamii
• Uchumi wa Afrika
• Elimu
• Utamaduni
• Pan-Africanism