
Onesho la Mchango wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Uhuru, Utamaduni, Umoja wa Afrika na Maendeleo. Kutoa elimu, kuhamasisha uzalendo, kuenzi urithi wa Taifa na kuonesha mchango wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika: • Uhuru wa Tanganyika • Muungano wa Tanzania • Ukombozi wa Afrika • Ujenzi wa Taifa • Elimu • Kiswahili • Utamaduni • Diplomasia ya Afrika • Amani na Umoja wa Afrika