TAMASHA LA KIMATAIFA LA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

8
:
88
:
88
:
88

LIBERATION FILM DOCUMENTARIES & NYERERE DOCUMENTARY PREMIERE

Filamu za Kihistoria za Ukombozi na Uzinduzi wa Filamu Maalum ya Mwalimu Nyerere

LIBERATION FILM DOCUMENTARIES & NYERERE DOCUMENTARY PREMIERE

Maonesho ya filamu za kihistoria zinazohusu harakati za ukombozi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, pamoja na uzinduzi na uonyeshwaji wa kwanza rasmi wa filamu maalum inayomuhusu Mwalimu Nyerere, inayoangazia maisha yake, falsafa ya uongozi, maono yake ya Umoja wa Afrika (Pan-Africanism), na urithi wake unaoendelea kutambulika duniani.

← Rudi kwenye orodha