TAMASHA LA KIMATAIFA LA JULIUS KAMBARAGE NYERERE

8
:
88
:
88
:
88

HISTORICAL AND LIBERATION HERITAGE TOUR

Ziara za utalii wa Kihistoria na urith wa ukombozi:

HISTORICAL AND LIBERATION HERITAGE TOUR

Ziara maalum za kihistoria na kiutalii zitakazoandaliwa katika maeneo muhimu ya kihistoria na kitamaduni, yakiwemo Butiama, Tabora, Dar es Salaam, Zanzibar na Mikoa ya Kusini mwa Tanzania. Ziara hizi zitalenga kuibua na kutambulisha Njia Halisi ya Utalii wa Historia ya Ukombozi wa Tanzania.

← Rudi kwenye orodha